India imejitanabahisha kama kiungo muhimu katika mfumo wa teknolojia ya Akili Mnemba duniani. Waziri Mkuu Narendra Modi amesema nchi hiyo inalenga kujenga teknolojia nyumbani na kisha kuisambaza kote ...
Vigogo wa teknolojia waaahidi mabilioni katika mkutano wa AI nchini India, wakati huo huo Shirika la Chakula Duniani likionya kuhusu njaa ya kihistoria na kuporomoka kwa ufadhili. Je, AI inaweza kuwa ...
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Prof. Peter Msoffe, amesema Tanzania haiwezi kukwepa Bioteknilojia katika kuendeleza ...
Tangu kuzinduliwa kwake mwishoni mwa Novemba 2022, teknolojia ya akili bandia ya ChatGPT, inayotumia akili ya bandia (AI) kujibu maswali au kuunda ujumbe unapohitajika kutoka kwa watumiaji, imekuwa ...
Chama Cha Mafundi Tanzania (CMT), Joseph Kusaga Foundation na Unicx AI Data Limited zimeingia ubia mpya wa kimkakati unaolenga kubadilisha sekta ya mafundi Tanzania kupitia teknolojia, huduma za kifed ...
Utafiti ambao unafanyia majaribio teknolojia inayodaiwa kuwa na uwezo wa kutofautisha watu wapenzi wa kawaida na wapenzi wa jinsia moja umezua mzozo mkali kati ya waliotayarisha teknolojia hiyo na ...
Hiki ni kipindi kinachohusisha ripoti na mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea ripoti kuhusu Teknolojia Mpya ya Kilimo cha Mpunga. Kama ...
Katika Taasisi ya Ujuzi ya Maendeleo ya Kazi- UICD- iliyoko Mashariki mwa jiji la Nairobi,nchini Kenya vijana wanajifunza ubunifu mbalimbali kwa kutumia Teknolojia ya Akili mnemba yaani artificial ...
Bara la Afrika linasalia kua bara linalokua katika matumizi ya teknolojia katika michezo. Hata hivyo hivi karibuni michuano mingi ya shirikisho la soka barani Afrika CAF kama vile AFCON imeonekana ...